Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.
Wapendwa naomba mbarikiwe kwa Neno hili la KWELI la Mungu.
*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*

Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
Like
1
0 Kommentare 0 Geteilt 978 Ansichten 80 0 Bewertungen