UKWELI MUHIMU: Kila mwanadamu ana umuhimu wake, hivyo tukishikamana ndipo tutakapoweza kutimiza malengo. Ila yule ajitengaye si tu kuwa anaweza kukwamisha malengo ya wengine, lakini pia hata yeye hataweza kutimiza ya kwake. Tuache ubinafsi, tushikamane, tukumbuke UMOJA NI NGUVU.

Love
Like
4
2 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 665 Views 0 Προεπισκόπηση