REVELATION
    UCHAMBUZI WA KITABU CHA UFUNUO
    Maana ya Ufunuo.   Neno Ufunuo kwa kiingereza ni Reveletion au Disclosure au Apokalupsis kwa kiyunani Apokalupsis  Maana yake ni Mungu kujiweka wazi, au kujifunua kupitia uumbaji wake, Historia, Dhamiri ya mwanadamu na Maandiko kwa msingi huo linapotumiwa katika maandiko hutumiwa kwa maana mbalimbali tofauti na hakuna maana maalumu, Maneno makuu mawili ya kiyunani hutumika katika Biblia yaani Apokalupsis na Faneroun fanerou'n  ambalo maana yake ni yaliyo juu...
    By GOSPEL PREACHER 2021-11-23 11:12:11 0 9K
    REVELATION
    UFUNUO 22
    Bwana wetu YESU KRISTO apewe sifa, Karibu katika mfululizo wa mwendelezo wa kitabu cha ufunuo leo tukiwa katika sura ya 22 na ya mwisho, Tusome..     Ufunuo 22 1 Kisha akanionyesha MTO WA MAJI YA UZIMA, wenye kung’aa kama bilauri, ukitoka katika kiti cha enzi cha Mungu, na cha Mwana-Kondoo, 2 katikati ya njia kuu yake. Na upande huu na upande huu wa ule mto, ulikuwapo MTI WA UZIMA, uzaao matunda, aina kumi na mbili, wenye kutoa matunda yake kila mwezi; na majani ya mti...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 18:55:33 0 5K
    REVELATION
    UFUNUO 21
    Bwana YESU KRISTO atukuzwe, Karibu katika mafunzo ya kitabu cha Ufunuo, leo tukiwa katika ile sura ya 21, Tukisoma.. Mlango 21:1-8 1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. 2 Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe. 3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama,...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:58:19 0 6K
    REVELATION
    UFUNUO 20
    Bwana wetu YESU KRISTO apewe sifa, karibu katika mwendelezo wa kitabu cha ufunuo, leo tukiwa katika ile sura ya 20, tunasoma.. Mlango 20. 1 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake. 2 Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu; 3 akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:40:40 0 5K
    REVELATION
    UTAWALA WA MIAKA 1000
    Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze maandiko matakatifu, kama Biblia inavyosema katika Zaburi 119:105 “ Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.”..Ikiwa na maana Neno la Mungu ni mwongozo wetu, tukilijua Neno la Mungu hata tukikosa vitu vingine vyote bado tutaishi.Amen.   Leo tutajifunza juu ya utawala wa miaka 1000. Swali utawala wa miaka 1000 ni nini?...Utawala wa miaka 1000 ni utawala ambao utakuja kuanza hapa duniani, ambapo Bwana...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:39:10 0 6K
    REVELATION
    UFUNUO 19
    Karibu tujifunze biblia na huu ni mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo leo tukiwa katika ule mlango wa 19, Tunasoma.. 1 Baada ya hayo nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, sauti kubwa mbinguni, ikisema, Haleluya; wokovu na utukufu na nguvu zina BWANA MUNGU wetu. 2 kwa kuwa hukumu zake ni za kweli na za haki; maana AMEMHUKUMU YULE KAHABA MKUU aliyeiharibu nchi kwa uasherati wake, na kuipatiliza damu ya watumwa wake mkononi mwake. 3 Wakasema mara ya pili, Haleluya. Na moshi...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:21:07 6 6K
    REVELATION
    UFUNUO 18
    Tukirejea kwenye ile sura ya 17 tunamwona yule mwanamke KAHABA aliyeketi juu ya yule mnyama mwekundu na kwenye paji la uso wake ana jina limeandikwa kwa “siri” BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI, na tulishaona huyu mwanamke si mwingine zaidi ya KANISA KATOLIKI, lenye makao yake makuu VATICAN, na ni kwanini hajulikani kwa wazi? ni kwasababu jina lake lipo katika SIRI, na pia BABELI hii ipo rohoni, kumbuka BABELI ya kwanza ilikuwa ya mwilini...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:17:39 0 6K
    REVELATION
    UFUNUO 17
    Karibu tujifunze kitabu cha Ufunuo leo tukiwa katika mwendelezo wetu wa sura ya 17, Biblia inasema… Ufunuo 17:1-6″1 Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi; 2 ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. 3 Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:05:54 0 6K
    REVELATION
    UFUNUO 16
    Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, ambapo leo tutaitazama ile sura ya 16, ya kitabu hichi, Ni vizuri kama hujapita sura za nyuma ungeanza kwanza kuzipita hizo ili uweke msingi mzuri wa kuzielewa sura zinazofuata. Katika sura hii ya 16, habari kuu tunayoina ni juu ya vitasa 7, “Vitasa ni VIBAKULI kwa lugha ya sasa”..Na hasira ya Mungu sehemu nyingine imefananishwa na mfano wa kimiminika fulani kinachojaa katika chombo,...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 11:58:27 0 6K
    REVELATION
    UFUNUO 15
    Karibu tujifunze mwendelezo wa kitabu cha ufunuo, leo tukiendelea na sura ya 15; Ufunuo 15:1-4  1 Kisha nikaona ishara nyingine katika mbingu, iliyo kubwa, na ya ajabu; malaika saba wenye mapigo saba ya mwisho; maana Katika hayo ghadhabu ya Mungu imetimia. 2 Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 11:50:48 0 6K
    REVELATION
    UFUNUO 14
    Kama tunavyofahamu baada ya wakati wa mataifa kuisha yaani unyakuo kupita itakuwa imebaki miaka 7 tu mpaka dunia kuisha, ndani ya hicho kipindi kifupi Mungu atakuwa anashughulika na Taifa la Israeli, na kuwatia muhuri wale wayahudi 144,000 kama tunavyosoma katika sura ya 7 ya kitabu cha Ufunuo, kwahiyo ile miaka mitatu na nusu ya kwanza itakuwa ni injili kwa wayahudi na ile miaka mitatu na nusu ya mwisho itakuwa ni wakati wa ile DHIKI KUU. Tukiendelea na ufunuo sura ya 14 ambayo ni...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 11:47:48 0 5K
    REVELATION
    UFUNUO 13
    Tukisoma kitabu cha Ufunuo mlango wa 13 tunaona kuna wanyama wawili wanaozungumziwa pale; wa kwanza akiwa ni yule mwenye vichwa saba na pembe 10 aliyetoka baharini na wa pili ni yule aliyekuwa mfano wa mwanakondoo mwenye pembe 2 akitoka katika nchi. Kwa ufupi tuwatazame hawa wanyama wanawakilisha nini na wanachukua nafasi gani katika siku hizi za mwisho: MNYAMA WA KWANZA: Ufunuo 13:1-5″ Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-30 11:43:02 0 6K
Crea pagina
Descrizione
Learn various facts about God, which are found in the book of Revelation.
Leggi tutto
Networking
How to grow your marketplace on a budget
Creating a collaborative marketplace is complex. You need suppliers, customers for those...
By Business Academy 2022-09-17 01:57:18 0 5K
OTHERS
VIOJA VYA UISLAM KUHUSU KIFO NA KUFUFUKA WAKATI WA KIYAMA
1. Eti Binadamu asili yake ni MBEGU YA "Ajabu Dhanab" 2. Eti Siku ya Kiyama Allah atanyeshea...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-22 04:53:50 0 5K
SPIRITUAL EDUCATION
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25
PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
By Martin Laizer 2023-09-25 15:12:47 0 11K
Injili Ya Yesu Kristo
EPUKA UONGO UKIENDELEA KUTENDA DHAMBI BAADA YA KUOKOKA, HUENDI MBINGUNI KAMWE / IF YOU CONTINUE TO SIN AFTER BEING SAVED, YOU WILL NOT GO TO HEAVEN
SWAHILI: Bwana Yesu (ambaye ni Mungu mkuu na mwokozi wetu, Tito 2:13)  asifiweeee! Lengo la...
By PROSPER HABONA 2022-01-16 14:16:25 0 6K
FORM 4
FORM 4
List of all subjects for the form 4 class AGRICULTURE BASIC MATHEMETICS BIOLOGY BOOK-KEEPING...
By PROSHABO ONLINE SCHOOLS 2021-10-09 10:25:06 0 5K