MWANAMKE SIMAMA KWENYE NAFASI YAKO ILI UIPONYE NDOA YAKO
Namshukuru Mungu ambaye anazidi kunipa neema ya kuandika na kuandika masomo mbalimbali na pia yale yanayohusu akina mama hasa wao kuwa kwenye nafasi zao.
Mnamo Novemba, 2009 mama mmoja alinitumia email akinieleza kwa jinsi ambavyo ndoa yake imekuwa ikimsumbua na kufika mahali pa yeye kujutia hata kwa nini alikubali kuolewa. Baada ya kupata ujumbe wake nilichukua hatua ya kufanya maombi kwa ajili ya huyu mama na wengine wenye shida kama yake kwenye ndoa zao. Katika kuomba, Mungu alinisemesha...
NAMNA MWANAMKE ANAVYOWEZA KUTUMIA NAFASI ZAKE KUBADILISHA MAISHA YA NDOA YAKE
Mithali 14: 1 ‘Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe’.
Mchungaji mmoja rafiki yangu aliniambia asilimia hamsini mpaka sabini ya changamoto au matatizo anayoshughulika nayo mara kwa mara katika kanisa lake ni ya wanandoa. Kwa lugha nyepesi asilimia 50 – 70 ni matatizo yatokanayo au yanayohusiana na ndoa. Binafsi pia kwa upande wangu kupitia nafasi yangu katika mwili wa Kristo, email za wasomaji ninazopata...
KIJANA AU BINTI USIJIDANGANYE, KWENYE NDOA HAUTAISHI NA UMBILE WALA FEDHA
Mwaka fulani kabla sijaoa Mwinjilisti mmoja aliniambia, Sanga, ukitaka kuoa tafuta binti mwenye sura na umbile zuri ambaye kila atakayekuona naye atasema kwa kweli mwenzetu Sanga kapata mke. Nikiwa mkoa mwingine kimasomo Mzee mmoja wa kanisa aliniambia jambo la aina hiyo pia. Naam si hawa tu waliojaribu kunijengea wazo la aina hii, wapo na wengine, ila nimeamua kutaja hawa wawili kutokana na nafasi zao kama viongozi.
Wakati huo nilikuwa mbioni kutafuta mwenza wa maisha pia, hivyo mawazo ya...
JIFUNZE KUFIKIRI KABLA HUJACHUKUA UAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA
Nawasalimu kwa jina la Yesu . Leo katika nyanja hii ya vijana, nimeona ni vema tukashirikishana kuhusu suala la ‘kufikiri kabla ya kuoa au kuolewa’.
Siku moja katika kusoma Biblia nilikutana na mstari ufuatao, nakusahuri uusome kwa umakini. Biblia katika 1Wakorinto 7:8-9 inasema “Lakini nawaambia wale, wasiooa bado na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo, lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe, maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa”.
Baada ya kuusoma...
NAJUTA KWA NINI NILIKUBALI KUOLEWA?
Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, Merian asema anajuta kwa nini alikubali kuolewa. Merian na Joseph (haya siyo majina yao halisi) ni mtu na mumewe. Nikiwa katika Mkoa wao kikazi, niliamua kuwatembela wanandoa hawa. Merian alinipokea na kunikaribisha ndani kwa furaha sana. Tukaanza kuongea nami nikamuuliza, Joseph yupo? Akaniambia bado hajarudi kutoka kazini, hata hivyo kaniambia yupo njiani anakuja.
Tukaanza kuzungumuza mambo kadha wa kadha na kisha nikamuuliza mnaendeleaje na ndoa yenu changa?...
JE, UNAJUA HIYO NDOA UNAYOTAKA KUINGIA INAKUPELEKA WAPI?
Mtumishi, ninachohitaji sasa ni mume tu, umri unazidi kwenda na nimeomba ila sioni nikijibiwa, waliojitokeza kutaka kunioa hawamaanishi na sasa nimechoka kusubiri. Hivyo kuanzia sasa mwanaume yoyote atakayekuja haijalishi ameokoka au hajaokoka na hata akiwa mpagani nitakubali kuolewa naye ili na mimi niwe na mume. Hivi ndivyo dada Agnes (siyo jina lake halisi) alivyonieleza baada ya kunipigia simu.
Kimsingi kila ninapotafakari changamoto zilizoko kwenye ndoa, hususani ndoa...
UKIITWA NA MUNGU KATIKA HUDUMA JIHADHARI USIOE AU KUOLEWA NA MWENZA WA UFALME WA GIZA
Biblia katika Waefeso 4:11-12 inasema ‘Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe’.
Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Waalimu ndizo ambazo zinafahamika kama huduma kuu tano. Hawa ndio ambao BWANA amewaita na kuwaweka shambani mwake ili kuwakamilisha watakatifu na kuujenga mwili wake....
MTOFAUTISHE NA WENGINE
KWELI KUU: Mwenzi wako wa ndoa hafanani na yeyote yule, anafanana na wewe, na wala halingani na yeyote yule; ni tofauti na wengine wote, ni wa pekee kwa ajili yako; kwa ajili ya furaha yako.Wimbo Ulio Bora 2:3
Kama mpera kati ya miti ya misituni,Kadhalika mpenzi wangu kati ya vijana,Nalikuwa kivulini mwake kwa furaha,Na matunda yake naliyaonja kuwa matamu.
Muktadha Wa Kifungu hiki cha maandiko:Katika maandiko haya mpenzi anamwimbia mpenzi wake, maneno yake ni matokeo ya upendo wake na...
MWANAUME: SIO MKE WAKO NI WEWE
Mchungaji wangu Emmanuel Nhyama Manwele ambaye ni mwalimu wangu wa kwanza wa ndoa na maswala yahusuyo ndoa, alinifundisha akasema,"Mke ni kama kinanda, ukikipiga vizuri kitakupa muziki mzuri, lakini usipokipiga vizuri hakitakuletea muziki mzuri ila mbaya. Mtu ambaye hakufundishwa kupiga kinanda hawezi kupiga kinanda hicho katika mpangilio sahihi wa ala za muziki kikaleta maana ya wimbo, hata kama mtu huyo anajua wimbo huo, kama hujui namna ya kupiga 'cords' au 'keys' kwenye kinanda,...
MWANAUME UKIKOSA UNYENYEKEVU MKE ATAKUSHINDA
Unyenyekevu ni tabia ya kujishusha na kuvaa kiatu cha aliye chini yako; unavua heshima na utukufu wako, kisha unavaa hali yake aliye chini yako. Kwa mume aliye chini yake ni mkewe.Yesu kama kichwa cha kanisa ni mfano wetu sisi waume tulio vichwa vya wake zetu katika swala zima la unyenyekevu. Yeye alijishusha akavaa kiatu chetu, na kuanzia hapo ndipo anaanza kutuleta pale alipo anapopenda na anapotaka tuwe sisi Kama mwili wake yaani kanisa lake.(Waefeso 5:22, 23, 25 - 29)Kujiposea kanisa...
MAMBO SITA MUHIMU KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA NA NDOA
KWELI KUU: Ndoa nzuri ni matokeo ya kuoa au kuolewa na mtu sahihi pasipo kuacha kufuata kanuni za mahusiano hususani kanuni za ndoa kabla na baada ya kuoa au kuolewa.Yohana 10:27 - 30
[27] Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.[28] Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakaowapokonya mkononi mwangu. [29] Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. [30] Mimi na Baba...
NDOA YA MKE MMOJA NA MUME MMOJA NI AGIZO NA NI SHERIA YA MUNGU
UTANGULIZI:Kumekuwepo na mkanganyiko mkubwa katika swala la ndoa kati ya ndoa ya mke mmoja na mume mmoja na ndoa ya mume mmoja na wake wengi (ndoa ya mitala). Katika hili kuna baadhi ya watumishi ambao wamediliki kusema hadharani kuwa, ndoa ya mke mmoja na mume mmoja ni agizo la wanadamu na sio la Mungu na hakuna katazo lolote katika Biblia la ndoa ya mitala. Hii SIO KWELI KABISA NA NI KINYUME CHA BIBLIA NA MPANGO WA MUNGU KATIKA NDOA TANGU MWANZO.Kwa sababu ya...
Sayfa Oluştur
Read More
YESU KRISTO AMEKUPA UTAJIRI
Watu wengu wanafikiri kuwa, Mungu aliwaumba ili wawe watu wa kawaida tu, la hasha, Mungu...
JE, MUHAMMAD AU JIBRIL NI ROHO YA KWELI/ROHO MTAKATIFU?
Leo nitawajibu Waislam wote duniani kwa kutumia Biblia Takatifu kuwa Muhammad hakuwa Roho ya...
Verse by verse explanation of Exodus 1
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 40 questions at the...
SAMEHE NA KUSAHAU (NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE)
TABIA YA MUNGU YA KUSAMEHE NDANI...