• 1wakorintho 14:33
    Kwa maana MUNGU SI MUNGU wa machafuko,Bali wa amani Kama ilivyo katika makanisa yote ya WATAKATIFU.
    Amani hutafutwa kwa kujiepusha kushinda na kujilinganisha kwa kujiona bora kuliko mwingine kwa makanisa,kuhubiri,kufu ndisha tofauti na hapo shetani atajaza wivu ulio na chuki,kuchonganisha na kufarakanisha...
    kwako uliyeokoka UPENDO NA AMANI ni kifungo chako Cha ukamilifu.
    TUPENDANE NA KUSAIDIANA kwa kuhesabu nafsi zetu sio Bora kuliko wengine yoote kuliheshimisha jina la mwokozi wetu na uzima wetu aliye njia yetu KRISTO YESU. :smiling-face-with-heart-eyes: :smiling-face-with-heart-eyes: :smiling-face-with-heart-eyes:
    1wakorintho 14:33 Kwa maana MUNGU SI MUNGU wa machafuko,Bali wa amani Kama ilivyo katika makanisa yote ya WATAKATIFU. Amani hutafutwa kwa kujiepusha kushinda na kujilinganisha kwa kujiona bora kuliko mwingine kwa makanisa,kuhubiri,kufu ndisha tofauti na hapo shetani atajaza wivu ulio na chuki,kuchonganisha na kufarakanisha... kwako uliyeokoka UPENDO NA AMANI ni kifungo chako Cha ukamilifu. TUPENDANE NA KUSAIDIANA kwa kuhesabu nafsi zetu sio Bora kuliko wengine yoote kuliheshimisha jina la mwokozi wetu na uzima wetu aliye njia yetu KRISTO YESU. :smiling-face-with-heart-eyes: :smiling-face-with-heart-eyes: :smiling-face-with-heart-eyes:
    Like
    Love
    4
    5 Comments 0 Shares 702 Views 0 Reviews
Sponsored
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].