SINAGOGI SIO MSIKITI
TUNAZIDI KUCHAMBUA HOJA ZA MIHADHARA ya Kiislamu   LEO TUANGALIE SINAGOGI!! Sehemu ya piliKama tulivyosema Neno SInagogi linatokana na Kigiriki συναγωγή sinagoge likimaanisha "mkutano"; ni tafsiri ya Kiebrania בית כנסת beit knesset yaani "nyumba ya mkutano".   Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" (=shule) kutajia sinagogi. Katika lugha...
0 Maoni 0 Shiriki 7K Mitazamo 0 Reviews