VIJANA MSIYACHOCHEE MAPENZI HATA YATAKAPOONA VEMA YENYEWE
Shalom, leo katika ukurasa huu wa maswali na majibu nataka kujibu swali kuhusu mwenendo wa vijana wakati wa uchumba ambalo limekuwa likiulizwa na wasomaji mbalimbali wa blogu hii kwa namna tofauti. Swali: Bwana Yesu asifiwe Sanga, naomba kuuliza, je mimi na mchumba wangu kufanya michezo ya mapenzi bila kufanya tendo la ndoa ni dhambi? Mfano; kumbusu, kushikana shikana mwilini, kutekenyana,...
0 Maoni 0 Shiriki 6K Mitazamo 0 Reviews