SIFA 10 ZA MKE MWEMA

1. Ana busara. Mke huyu anapatikana kutoka kwa Mungu mwenyewe. Mithali 19: 14

2. Haringi kwa sababu ya uzuri wake. Esta 2:1…

3. Anajua nafasi yake katika ndoa. 1Wakorintho 11: 9, ni mtii Efeso 5:22

4. Si tegemezi, anafanya kazi ya uzalishaji Mithali 31: 14-19

5. Huaminiwa na moyo wa mumewe. Mithali 31: 11

6. Humsitiri mume wake. 1 Samweli 25: 24-25

7. Sio mchoyo 1 Samweli 25:18 and Mithali 31:20

8. Anajali future (maisha ya baadaye) ya watoto wake. (Angalia mama wa Musa, Yakobo,Timotheo, Samsoni na wengine wengi) Walizingatia maagizo ya Mungu ili wasiharibu future za watoto wao.

9. Mcha Mungu.

10. MTIIFU
SIFA 10 ZA MKE MWEMA 1. Ana busara. Mke huyu anapatikana kutoka kwa Mungu mwenyewe. Mithali 19: 14 2. Haringi kwa sababu ya uzuri wake. Esta 2:1… 3. Anajua nafasi yake katika ndoa. 1Wakorintho 11: 9, ni mtii Efeso 5:22 4. Si tegemezi, anafanya kazi ya uzalishaji Mithali 31: 14-19 5. Huaminiwa na moyo wa mumewe. Mithali 31: 11 6. Humsitiri mume wake. 1 Samweli 25: 24-25 7. Sio mchoyo 1 Samweli 25:18 and Mithali 31:20 8. Anajali future (maisha ya baadaye) ya watoto wake. (Angalia mama wa Musa, Yakobo,Timotheo, Samsoni na wengine wengi) Walizingatia maagizo ya Mungu ili wasiharibu future za watoto wao. 9. Mcha Mungu. 10. MTIIFU
Love
1
1 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews