DANIELI 1
Jina la Bwana wetu YESU KRISTO na MKUU wa Dunia yote libarikiwe, Karibu katika kujifunza kitabu cha Danieli, leo tukianza na ile Sura ya kwanza, Kwa ufupi tunasoma mlango huu wa kwanza kama wengi tunavyofahamu unaeleza jinsi wana wa Israeli walivyochukuliwa utumwani mpaka Babeli kutokana na wingi wa maovu yao, na Mungu kwa kupitia kinywa cha Nabii wake Yeremia alishawatabiria kuwa...
0 Maoni 0 Shiriki 7K Mitazamo 0 Reviews