SHALOOM FRIENDS,,
SOMA HADI MWISHO UNISAIDIE MAWAZO YAKO NA USHAURI WAKO..
Nimekaa kimyaa mda mrefu nisife nalo bure ngoja nipate mawazo na ushauri wenu wapendwa ni kwamba,sababu ni ipi muhimu sana ya kumfanya mwanamke aweke Poda usoni,mawigi kichwani,rangi mkononi na miguuni na mambo mengi kama hayo,unaonaje hawajisahihishi kweli visivyo vizur kwao,mfano awekae rangi kucha anakuwa anajisahihisha kwamba kucha zake ni mbaya yaani hazipendezi,na mawigi kichwani sina nywele au ninamakovu kichwani,TUSHAULIANE JAMAN INAKUWAJE HAPO,maana wengine tunavaa miwani wagonjwa wa macho,maana nishakuona rafiki yangu unajua ni urembo,,,
SHALOOM FRIENDS,, SOMA HADI MWISHO UNISAIDIE MAWAZO YAKO NA USHAURI WAKO.. Nimekaa kimyaa mda mrefu nisife nalo bure ngoja nipate mawazo na ushauri wenu wapendwa ni kwamba,sababu ni ipi muhimu sana ya kumfanya mwanamke aweke Poda usoni,mawigi kichwani,rangi mkononi na miguuni na mambo mengi kama hayo,unaonaje hawajisahihishi kweli visivyo vizur kwao,mfano awekae rangi kucha anakuwa anajisahihisha kwamba kucha zake ni mbaya yaani hazipendezi,na mawigi kichwani sina nywele au ninamakovu kichwani,TUSHAULIANE JAMAN INAKUWAJE HAPO,maana wengine tunavaa miwani wagonjwa wa macho,maana nishakuona rafiki yangu unajua ni urembo,,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Love
Like
Haha
Wow
5
53 Maoni 0 Shiriki 2K Mitazamo 0 Reviews