Asante YESU kwa kunikirimia vipawa na karama nyingi; Asante pia kwa kunipatia nafasi ya kuiona siku ya leo. Naomba Roho Mtakatifu aendelee kunioangoza ili nivitumie vipawa hivi kuhubiri Injili na kuwaleta wengi katika Ufalme wako, Amen.

Love
1
2 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews