Sehemu sahihi ya kujifunza misingi ya Biblia kuhusu urafiki, uchumba hadi ndoa. Matatizo yote yanayowapata wanadamu katika sekta ya mahusiano, yanasababishwa na kukiuka misingi hii.
-
Glory to Jesus
Mahusiano yakijengwa katika msingi wa Kristo, basi sio tu familia lakini pia hata taifa, litasimama na kuwa na uchumi imara.
Hivi Karibuni
-
0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 ReviewsTafadhali ingia kwenye akaunti ili kupenda, kushiriki na kutoa maoni!
-
0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
-
0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
-
SIFA 10 ZA MKE MWEMA
1. Ana busara. Mke huyu anapatikana kutoka kwa Mungu mwenyewe. Mithali 19: 14
2. Haringi kwa sababu ya uzuri wake. Esta 2:1…
3. Anajua nafasi yake katika ndoa. 1Wakorintho 11: 9, ni mtii Efeso 5:22
4. Si tegemezi, anafanya kazi ya uzalishaji Mithali 31: 14-19
5. Huaminiwa na moyo wa mumewe. Mithali 31: 11
6. Humsitiri mume wake. 1 Samweli 25: 24-25
7. Sio mchoyo 1 Samweli 25:18 and Mithali 31:20
8. Anajali future (maisha ya baadaye) ya watoto wake. (Angalia mama wa Musa, Yakobo,Timotheo, Samsoni na wengine wengi) Walizingatia maagizo ya Mungu ili wasiharibu future za watoto wao.
9. Mcha Mungu.
10. MTIIFUSIFA 10 ZA MKE MWEMA 1. Ana busara. Mke huyu anapatikana kutoka kwa Mungu mwenyewe. Mithali 19: 14 2. Haringi kwa sababu ya uzuri wake. Esta 2:1… 3. Anajua nafasi yake katika ndoa. 1Wakorintho 11: 9, ni mtii Efeso 5:22 4. Si tegemezi, anafanya kazi ya uzalishaji Mithali 31: 14-19 5. Huaminiwa na moyo wa mumewe. Mithali 31: 11 6. Humsitiri mume wake. 1 Samweli 25: 24-25 7. Sio mchoyo 1 Samweli 25:18 and Mithali 31:20 8. Anajali future (maisha ya baadaye) ya watoto wake. (Angalia mama wa Musa, Yakobo,Timotheo, Samsoni na wengine wengi) Walizingatia maagizo ya Mungu ili wasiharibu future za watoto wao. 9. Mcha Mungu. 10. MTIIFU -
SEHEMU YA 5: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA
https://proshabo.com/blogs/481/SEHEMU-YA-5-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBASEHEMU YA 5: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA https://proshabo.com/blogs/481/SEHEMU-YA-5-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBAPROSHABO.COMSEHEMU YA 5: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOANdoa ya kikristo ni sehemu nyeti kabisa ya ushuhuda wa Injili ya Kristo kwa waaminio na kwa wasio amini. Ni taasisi Mungu anayoitumia kuonyesha upendo wake kwa wanadamu na kujali kwake kwa mume kumpenda mkewe na mke kumtii mumewe. Mume amwone Kristo ndani ya mkewe kupitia matendo ya utii na...0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews -
SEHEMU YA 4: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA
https://proshabo.com/blogs/480/SEHEMU-YA-4-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBASEHEMU YA 4: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA https://proshabo.com/blogs/480/SEHEMU-YA-4-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBAPROSHABO.COMSEHEMU YA 4: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOAKila taasisi ina mwanzo wake na kusudi la kuanzishwa kwake. Ndoa ni moja ya taasisi nyeti sana ambayo ina mwanzo na kusudi la kuanzishwa kwake. Nani alianzisha ndoa, na ni kwa kusudi gani. Katika somo hili nitazungumzia tu kuhusu kuanzishwa kwa taasisi hii nyeti kamo moja ya msingi wa kiinani... -
SEHEMU YA 3: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA
https://proshabo.com/blogs/479/SEHEMU-YA-3-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBASEHEMU YA 3: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA https://proshabo.com/blogs/479/SEHEMU-YA-3-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBAPROSHABO.COMSEHEMU YA 3: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOACho chote kinachojengwa nje ya msingi kipo nje ya utaratibu wa kawaida, hata kama katika jamii ya watu kinaonekana ni kawaida kukifanya, na kwa sababu hiyo hakina mpangilio sahihi wenye manufaa, hakiko thabiti, imara na kwa hiyo hakiwezi kuaminiwa, kutegemewa wala kutumainiwa, na siyo kielelezo...0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews -
SEHEMU YA 2: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA
https://proshabo.com/blogs/478/SEHEMU-YA-2-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBASEHEMU YA 2: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA https://proshabo.com/blogs/478/SEHEMU-YA-2-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBAPROSHABO.COMSEHEMU YA 2: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOAMahusiano ya uchumba hadi ndoa katika Imani, yaani wokovu ni mahusiano yanayojengwa katika misingi ya kiimani ambayo imeonyeshwa waziwazi katika Biblia takatifu ambayo ni Neno la Mungu lililohakikishwa. Ili yaweze kumpendeza Mungu, kuwa thabiti, na kutimiza kusudi lake la ki-Mungu ni lazima...0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews -
SEHEMU YA 1: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA
https://proshabo.com/blogs/477/SEHEMU-YA-1-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBASEHEMU YA 1: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOA https://proshabo.com/blogs/477/SEHEMU-YA-1-MISINGI-YA-KIIMANI-KATIKA-MAHUSIANO-YA-UCHUMBAPROSHABO.COMSEHEMU YA 1: MISINGI YA KIIMANI KATIKA MAHUSIANO YA UCHUMBA HADI NDOAMahusiano ya uchumba hadi ndoa katika Imani (Wokovu) yana misingi yake na mwongozo wake katika Biblia. Biblia imetolea maelezo ya namna ya kuendesha mahusiano hayo baada ya kuchumbiana. Mahusiano haya ambayo yanaunda ndoa ya kikristo ni tofauti na mahusiano yale yanayoanzishwa nje ya Imani...0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews -
BIBLIA NA URAFIKI, UCHUMBA HADI NDOA
https://proshabo.com/blogs/475/BIBLIA-NA-URAFIKI-UCHUMBA-HADI-NDOABIBLIA NA URAFIKI, UCHUMBA HADI NDOA https://proshabo.com/blogs/475/BIBLIA-NA-URAFIKI-UCHUMBA-HADI-NDOAPROSHABO.COMBIBLIA NA URAFIKI, UCHUMBA HADI NDOABila shaka utaungana nami kuwa hakuna kipindi kinachosumbua katika maisha kama kipindi cha ujana, kwani kipindi hiki kijana akifanya makosa tu basi mwisho wake waweza kuwa mbaya uzeeni, kipindi hiki ndicho kipindi ambacho vijana wengi wanatakiwa kufundishwa masomo haya ya urafiki uchumba hadi...0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
Hadithi zaidi